Monday, October 24, 2011

BENZINO APANGA KUBATTLE NA EMINEM MWAKANI (2012)

Baada ya kimya cha muda mrefu msanii rapper wa kimarekani BENZINO ametoka na mixtape mpya inayoitwa Cezar. Akihojiwa na Baller status Benzino amesema anajiandaa kuja na project mpya inayoitwa Vegas music ambayo anatarajia kupambana na adui wake wa kitambo Eminem. Benzino kasema anajiandaa na raund ya 2 kwa Eminen kwa kua kwa sasa kajiandaa fresh kimashairi. <OVER>