Wednesday, February 15, 2012

CHRISTINA MILIAN AJIUNGA YOUNG MONEY





Weekend iliyopita lil wayne ametangaza kua atamtambulisha rasmi Christina Milian katika family ya young money katika Cash money pre-grmmys bash. Hata ilikua bado haijathibitishwa officially na mwnadada huyo, so bibie huyo kafunguka hewan katika kituo cha radiocha 97.1 AMP na kusema "najiunga young money... nimesha saini..na ninajisikia poa sana, pia wekend hii tutakua na bonge la party ". GOOD LUCK BIBIE  

No comments:

Post a Comment