Friday, February 17, 2012

SCOTT STORCH AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA

Umaarufu wa producer Scott Storch ulishuka miaka michache iliyopita kutokana na jamaa kuwa addicted katika matumizi ya madawa ya kulevya na matumizi mabaya ya pesa yaliyopelekea mapato ya jamaa kupungua. Mwaka 2009 jamaa alirudi kwenye chati baada ya kwenda rehab iliyomsaidia kurudisha maisha yake kwenye mstari. Hata hivyo imeonekana ni vigumu sana kwa producer huyo kuacha lifestyle ya kutumia drugs baada ya jamaa kukamatwa na 2.7grammes za cocaine, tarehe 4 February mida ya 8.30am ndani ya Cosmopolitan Hotel huko Las Vegas. Hata hivyo jamaa aliachiwa baada ya kuweka bond ya $5k.

No comments:

Post a Comment