Saturday, September 17, 2011

Roma atarajia kuachana muziki.

Msanii wa muziki wa hiphop kibongo bongo Roma Mkatoliki amedai baada ya miaka kumi antarajia awe ameachana na muziki na anampango wa kuwaandaa vijana wenye uwezo ili waendeleze alipoishia. Roma kwa hivi sasa antamba na mzigo wake wa mathematics amekua ni mmja kati ya wasanii wachache wanaodropisha mawe makali deile. good luck Roma ila zisiwe sound brooo.......

Picha za uchi za Amber Rose zavuja tena.... Wiz Khalifa amtetea

Picha za uchi za mwanamitindo wa marekani ambaye amewahi pia kuwa stripper  Amber rose zimevuja tena katika mtandao na kuchapishwa na gazeti la sister 2 sister. Amber Rose ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki Wiz khalifa amekuwa akipata kashfa za kupiga picha za mara kwa mara. Katika picha hizo ameonekana Amber akiwa ameweka pozi mbalimbali kwa bed na kwenye kochi. Wiz khalifa amedai picha hizo zilipigwa zamani na mtu wa karibu wa Amber rose ambaye sasa hafanyi nae kazi, pia amesema hajali watu wanavyomuongelea mpenzi wake kwani yeye anamjua kama mtu mwenye aibu na mwenye kumjua mungu

Tuesday, September 13, 2011

Jordan alimwa fine.

Me pia ni mchezaji maarufu wa zamani wa mpira wa kikapu ambaye pia ni mmiliki wa timu ya kikapu ya Bobcats Michael Jordan amepigwa fain ya $100000 na NBA kutokana na kauli za kashfa alizozitoa kuhusu NBA. Nyota huyo wa zamani wa Chicago Bulls alisema kua mfumo wa sasa wa NBA ni mbovu na hauzisaidii timu ndogo.

Weezy azidi kukimbiza sokoni.

Albam ya raper wa kimarekani Lil Wayne "Weezy" imeendelea kushika namba moja ndani ya billboard top 200 best selling album.  Hata hivyo Weezy ambaye aliachia albam ya iam not a human being baada ya kutoka jela ameshindwa kufikia mafanikio ya albam yake iliyopita The carter 3 ambayo iliuza zaidi ya ya kopi million moja kwa wiki ya kwanza ambapo the carter 4 imeuza takriban kopi 940000 katika wiki yake ya kwanza.

Sunday, September 11, 2011

Album ya Jeezy yaahirishwa tena

Album ya msanii wa wamarekani young Jeezy thug motivation 103 iliyotarajiwa kuachiwa mwezi wa 9 imeahirishwa tena bila kuwepo taarifa zozote. rapa huyo kutoka ATL amekua akiachia mixtape mbalimbali kama the real is back na the real is back 2 na pia ameachia video ya single aliyomshirikisha lil wayne ballin.

Friday, September 9, 2011

Welcome!

Welcome to the Yuzho Entertainment blog. The blog is about entertainment and sports issues. So lets Enjoy all.