Saturday, September 17, 2011

Roma atarajia kuachana muziki.

Msanii wa muziki wa hiphop kibongo bongo Roma Mkatoliki amedai baada ya miaka kumi antarajia awe ameachana na muziki na anampango wa kuwaandaa vijana wenye uwezo ili waendeleze alipoishia. Roma kwa hivi sasa antamba na mzigo wake wa mathematics amekua ni mmja kati ya wasanii wachache wanaodropisha mawe makali deile. good luck Roma ila zisiwe sound brooo.......

No comments:

Post a Comment