Tuesday, September 13, 2011

Weezy azidi kukimbiza sokoni.

Albam ya raper wa kimarekani Lil Wayne "Weezy" imeendelea kushika namba moja ndani ya billboard top 200 best selling album.  Hata hivyo Weezy ambaye aliachia albam ya iam not a human being baada ya kutoka jela ameshindwa kufikia mafanikio ya albam yake iliyopita The carter 3 ambayo iliuza zaidi ya ya kopi million moja kwa wiki ya kwanza ambapo the carter 4 imeuza takriban kopi 940000 katika wiki yake ya kwanza.

No comments:

Post a Comment