Wednesday, February 15, 2012

BOBY BROWN ACHANGANYIKIWA KUSIKIA HATAKIWI KATIKA MAZISHI YA WHITNEY HOUSTON





Mume wa zamani wa marehemu Whitney Houston, Boby Brown amesikitika baada ya kupata taarifa kutoka katika baadhi ya wanafmilia wa marehemu wakimtaka asihudhurie katika mazishi ya Whitney kwa kua fsmilia haimtambui.  Hata hivyo Boby bado hajapata official invitation kutoka katika familia ya marehemu Whitney. Boby anataka kuhudhuria mazishi ya mwanamama huyo ili aweze kumsapoti binti yake Bobbi Kristina ambaye alizaa na marehemu Whitney Houston.

No comments:

Post a Comment