Showing posts with label grillz. Show all posts
Showing posts with label grillz. Show all posts
Saturday, September 17, 2011
Roma atarajia kuachana muziki.
Msanii wa muziki wa hiphop kibongo bongo Roma Mkatoliki amedai baada ya miaka kumi antarajia awe ameachana na muziki na anampango wa kuwaandaa vijana wenye uwezo ili waendeleze alipoishia. Roma kwa hivi sasa antamba na mzigo wake wa mathematics amekua ni mmja kati ya wasanii wachache wanaodropisha mawe makali deile. good luck Roma ila zisiwe sound brooo.......
Picha za uchi za Amber Rose zavuja tena.... Wiz Khalifa amtetea
Picha za uchi za mwanamitindo wa marekani ambaye amewahi pia kuwa stripper Amber rose zimevuja tena katika mtandao na kuchapishwa na gazeti la sister 2 sister. Amber Rose ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki Wiz khalifa amekuwa akipata kashfa za kupiga picha za mara kwa mara. Katika picha hizo ameonekana Amber akiwa ameweka pozi mbalimbali kwa bed na kwenye kochi. Wiz khalifa amedai picha hizo zilipigwa zamani na mtu wa karibu wa Amber rose ambaye sasa hafanyi nae kazi, pia amesema hajali watu wanavyomuongelea mpenzi wake kwani yeye anamjua kama mtu mwenye aibu na mwenye kumjua mungu
Tuesday, September 13, 2011
Weezy azidi kukimbiza sokoni.
Albam ya raper wa kimarekani Lil Wayne "Weezy" imeendelea kushika namba moja ndani ya billboard top 200 best selling album. Hata hivyo Weezy ambaye aliachia albam ya iam not a human being baada ya kutoka jela ameshindwa kufikia mafanikio ya albam yake iliyopita The carter 3 ambayo iliuza zaidi ya ya kopi million moja kwa wiki ya kwanza ambapo the carter 4 imeuza takriban kopi 940000 katika wiki yake ya kwanza.
Subscribe to:
Posts (Atom)

