Saturday, September 17, 2011

Picha za uchi za Amber Rose zavuja tena.... Wiz Khalifa amtetea

Picha za uchi za mwanamitindo wa marekani ambaye amewahi pia kuwa stripper  Amber rose zimevuja tena katika mtandao na kuchapishwa na gazeti la sister 2 sister. Amber Rose ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki Wiz khalifa amekuwa akipata kashfa za kupiga picha za mara kwa mara. Katika picha hizo ameonekana Amber akiwa ameweka pozi mbalimbali kwa bed na kwenye kochi. Wiz khalifa amedai picha hizo zilipigwa zamani na mtu wa karibu wa Amber rose ambaye sasa hafanyi nae kazi, pia amesema hajali watu wanavyomuongelea mpenzi wake kwani yeye anamjua kama mtu mwenye aibu na mwenye kumjua mungu

No comments:

Post a Comment