Friday, February 17, 2012

pill ft rick ross-pacman

www.hulkshare.com/nbxvwma5dp60

Saigon- bring me down

www.hulkshare.com/vwihzz89zv15

SCOTT STORCH AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA

Umaarufu wa producer Scott Storch ulishuka miaka michache iliyopita kutokana na jamaa kuwa addicted katika matumizi ya madawa ya kulevya na matumizi mabaya ya pesa yaliyopelekea mapato ya jamaa kupungua. Mwaka 2009 jamaa alirudi kwenye chati baada ya kwenda rehab iliyomsaidia kurudisha maisha yake kwenye mstari. Hata hivyo imeonekana ni vigumu sana kwa producer huyo kuacha lifestyle ya kutumia drugs baada ya jamaa kukamatwa na 2.7grammes za cocaine, tarehe 4 February mida ya 8.30am ndani ya Cosmopolitan Hotel huko Las Vegas. Hata hivyo jamaa aliachiwa baada ya kuweka bond ya $5k.

Wednesday, February 15, 2012

MAPACHA WENYE UMRI MKUBWA DUNIANI





Ni Ena na Lily ndio mapacha wenye umri mkubwa duniani. mapacha hao wamesherehekea umri wa miaka 102,  kama mapacha enye umri mkubwa duniani na pia anatarajia kuspend pamoja katika kusherehekea huko. Mapacha hao Ena Pugh na Lily Millward ambao wamezaliwa 4 january 1910 amekuaa na tabia ya kusherehekea siku yao ya kuzaliwa kwa pamoja.

BOBY BROWN ACHANGANYIKIWA KUSIKIA HATAKIWI KATIKA MAZISHI YA WHITNEY HOUSTON





Mume wa zamani wa marehemu Whitney Houston, Boby Brown amesikitika baada ya kupata taarifa kutoka katika baadhi ya wanafmilia wa marehemu wakimtaka asihudhurie katika mazishi ya Whitney kwa kua fsmilia haimtambui.  Hata hivyo Boby bado hajapata official invitation kutoka katika familia ya marehemu Whitney. Boby anataka kuhudhuria mazishi ya mwanamama huyo ili aweze kumsapoti binti yake Bobbi Kristina ambaye alizaa na marehemu Whitney Houston.

CHRISTINA MILIAN AJIUNGA YOUNG MONEY





Weekend iliyopita lil wayne ametangaza kua atamtambulisha rasmi Christina Milian katika family ya young money katika Cash money pre-grmmys bash. Hata ilikua bado haijathibitishwa officially na mwnadada huyo, so bibie huyo kafunguka hewan katika kituo cha radiocha 97.1 AMP na kusema "najiunga young money... nimesha saini..na ninajisikia poa sana, pia wekend hii tutakua na bonge la party ". GOOD LUCK BIBIE